RAIS SAMIA AMALIZA LEO ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA


 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani leo jumapuli tarehe 01/12/2024 amemaliza ziara yake yakikazi kwenye mkoa wa Arusha.

Mheshimiwa Rais Dkt. Samia alikuwa pia mkoani Arusha kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyozikutanisha nchi zote nane (8) za Jumuiya ya Afrika Mashariki.


#mpembatv

Comments