Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, ameuliza bungeni leo akilitaka Jeshi la Polisi liweke wazi hadharani sababu za kumkamata Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antipas Lissu.
Tundu Lissu alikamatwa jana mkoani Ruvuma mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara katika Mtaa wa Soko Kuu, Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.
#mpembapic📸
#mpembatv📺
Comments
Post a Comment