OMARI KAYA KATIBU MKUU SINGIDA BLACK STARS


 Omari Kaya ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Singida Black Stars akichukua nafasi ya Jonathan Kassano ambae alikuwa Katibu Mkuu wa Klabu hiyo. 

Kaya amewahi kuwa CEO wa Namungo, Katibu Mkuu wa Yanga SC na pia Makamu Mwenyekiti wa Singida Black Stars.

#singidablackstars

#mpembapic📸

#mpembatv📺

#KilaShowNiSafari

Comments