RAIS SAMIA AELEKEA DODOMA KWA TRENI YA SGR KUSHIRIKI ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 17, 2025, ameisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki  zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo hii katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.



Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa, akimsindiza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea ndani ya treni tayari kwaajili ya safari yake.

Comments