Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni baada ya kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu leo Novemba 13, 2025.
Uthibitisho huo umefanyika baada ya Mhe. Rais kumteua Mbunge huyo wa Iramba Magharibi na baadae uteuzi wake kuwasilishwa Bungeni wakati wa Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13 unaofanyika leo Novemba 13, 2025.

Comments
Post a Comment