JESHI LA POLISI LAWATAJA WATU 10 WANAOWASAKA KWA AJILI YA KUWAKAMATA.



Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kuwa, kufuatia matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29/10/2025 katika Majiji ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya, pia katika Mikoa ya Shinyanga, Geita, Songwe, Ruvuma, Mara, Dodoma, Kilimanjaro na Iringa na kusababisha madhara kwa binadanu, kuharibu mali nyingi za umma na za watu binafsi kulileta athari kubwa.

#mpembapic📸

#mpembatv📺 

#kilashownisafari

Comments