Mbunge wa jimbo la Ilala na aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 12, Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupitia kura 378 kati ya kura 380 zilizopigwa.
Zungu anakuwa Spika wa Bunge la 13 akichukua mikoba ya mtangulizi wake, Dkt. Tulia Ackson.Kuona video ya uapisho wake BONYEZA HAPA

Comments
Post a Comment