Taasisi ya MOI inawataarifu umma kuwa itaendesha huduma za uchunguzi kwa magonjwa yasiyoambukiza kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya kujikinga na Magonjwa yasiyoambukiza duniani.
Huduma hizo zitatolewa bure kwa wagonjwa wasio na bima ya afya, na kwa wale wenye bima ya afya , bima zao zitatumika kupata huduma hizo ili kurahisisha muendelezo wa matibabu iwapo mgonjwa atatakiwa kufanya hivyo.
#mpembapic📸
#mpembatv📺
#lindaafyayako

Comments
Post a Comment