Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu wa Tanzania.Jina la Mwigulu ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi limewasilishwa bungeni leo Novemba 13, 2025 ambapo wabunge wanatarajiwa kupiga kura ya kumthibitisha muda mfupi ujao.

Comments

HONGERA SANA Mh MWIGULU LAMECK NCHEMBA
ReplyDelete