Liverpoll wameendeza wimbi lao la ushindi kwa kumchabanga kama sio kumrarua Machester City Magoli mawili kwa sifuri goli la kwanza limefungwa na Gapko akiunganisha pasi ya Salah na goli la pili limefungwa na Salah kwa mkwaju wa penati baada ya Luiz Diaz kuangushwa eneo la penati na golikipa wa City Ortega.


Comments
Post a Comment