MUONEKANO WA DARAJA LA BUSISI-MWANZA







 

Muonekano wa daraja la MAGUFURI, wengi mnalifahamu kama daraja la busisi hapo mwanza
Daraja hili Lina urefu wa km 3.2

Linaelekea kukamilika huku barabara ikiwa tayari ✅
#Tanzania
#mwanza
#busisi
#mpembapic📸
#mpembatv📺
#kilaShowNiSafari

Comments