SIMBA KUCHEZA NUSU FAINALI ZANZIBAR


 Simba watacheza nusu fainali ya kwanza dhidi ya Stellenbosch katika uwanja wa New Aman Complex Zanzibar. 

Je, unaona ubaya ubwela ukifanyika Visiwani?

#mpembapic📸

#mpembatv📺

#KilaShowNiSafari

Comments