BAYERN MUNICH MABINGWA WAPYA WA BUNDESLIGA 2024/2025


Bayern Munich ni mabingwa mara 34 wa Ligi Kuu ya Ujerumani wakiwa wameketi majumbani kwao na pointi zao 76 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote, Hii ni baada ya Bayern Leverkusen kutoa sare ya 2-2 dhidi ya Freiburg.

#mpembapic📸

#mpembatv📺

#kilaShowNiSafari

Comments