Harry Kane baada ya zaidi ya miaka 14 ya kazi, hatimaye atanyanyua kombe. Leo ni siku ya kihistoria katika ulimwengu wa soka kushuhudia namba tisa bora duniani nae anapata kombe lake la kwanza kwenye maisha yake ya soka.
Na ameshinda kiatu cha dhahabu mara ya pili mfululizo! 🔥🔴🙌
#bundesliga
#harrykane
#mpembapic📸
#mpembatv📺
#KilashowNiSafari

Comments
Post a Comment