HOTUBA YA KWANZA YA SPIKA WA BUNGE


 Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akitoa hotuba ya shukrani kwa Waheshimiwa Wabunge baada ya kumchagua kuwa Spika wa Bunge la 13 wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge hilo uliofanyika leo Novemba 11, 2025

Kuitazama hotuba hiyo BONYEZA HAPA

Comments