Mama mzazi wa Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amejitokeza hadharani kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia kumuachia mtoto wake ambaye yupo mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu jijini Dar es Salaam.

Comments
Post a Comment