Mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias maarufu kwa jina MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.Taarifa za awali zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe. Amina.
#RipMCPiliPili
#mpembapic📸
#mpembatv📺
#newsyoucantrust

Comments
Post a Comment